Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kwani kuna tatizo gani mtu kutumia kipato chake halali kufanya sherehe?
Magufuli ana ugomvi na mafisadi,majizi na wakwepa kodi na sio raia wafanyao sherehe kwa jasho lao

Kule saa 11 watu wameshamka wanasaka pesa! ukijua kutumia jua kutafuta.
 
Una mali za kuwekea rehani mkopo!? Wachaga wana majumba/mali za kuweka rehani ili kupata mkopo, na wakipata mkopo hawachezei hela mkopo "vigodoro", bali inapelekwa kwa biashara then faida kiduchu ndio "mchemsho" na mengineyo

Haaaaaaaa! Hela ya mkopo tena unachezea vigodoro hakika huchomozi.
 
Wavivu wa kifikra kujituma na wanaotegemea madili pekee ndio wanaoongoza kwa kulalamika na hali ngumu lazima iwe juu yao.
 
Jealousy is a weak emotion. It is a female trait FYI.

Mkuu huyo kilaza wa lumumba hawezi kukuelewa maana yeye na mwenyekiti wake wote ngeli ni chenga.Mtafsirie kwa kiswahili au kisukuma.Ana wivu wa kike utamuua.Kama vipi angeomba azaliwe mchagga ili na yeye akakope hayo mapesa na kwenda kufanya show off.
 
Umoja na Undugu ndio siri.
Uchakarikaji pasipo kudharau kazi ndio siri.
Sala na Ibada ndio siri.

Hata dhoruba iwe kubwa vipi haiwezi kuyazidi tajwa hapo juu.
Hilo la ibada ni kweli kabisa. Sehemu yoyote Tanzania alipo mchagga, lilkija swala la ujenzi wa nyumba ya ibada wanakuwa mstari wa mbele sana. Kwenye imani yao, ule usemi wa "toa ubarikiwe" wamezingatia.
 
Nenda moja kwa moja useme ulichokiacha badala yake ukauzunguka mbuyu. Jiamini utoe ya rohoni kwako ila ya mikoa mingine 24 usiyaseme sana kwani hakuna unayoyaelewa kila pembe ya mikoa hiyo
 
Fanya kazi kwa bidii uone kama mwaka utaisha ukilalamika hali ni mbaya! Tatizo wengi wameshajilaani kuwa hawawezi!
 
Kama kipimo ni sherehe za arusi na vipa imara basi hali ni nzuri kila mahali! Dar na kibaha na kwingineko hizi sherehe zinaendelea kama kawaida! Sema tunachangiana!
 
laki si pesa., post: 24800783, member: 305198"]tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao[/QUOTE]
Akili za watu wavivu utazijua tu
Utaendelea kubaki maskin hivohivo
 
Big up mkuu
Hawa wavivu wanatuonea sana wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…