Kinachoendelea NECTA kuhusu matokeo kidato cha nne na sita.

Kinachoendelea NECTA kuhusu matokeo kidato cha nne na sita.

J de real

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Imedhihirika kuwa kuna sintofahamu nyingi katika balaza la mtihani la taifa kutokana na kutupiwa macho mengi na wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa elimu. Hii ni sababu kubwa ya wao kuchelewa kutoa matokeo hayo wakihofia mitazamo ya wadau hao. Serikali katika hili bado inajipanga sawasawa.
 
Mkuu ni vyema uwe unatoa source ili tukuelewe vizuri, Hii itasaidia wakina Isaack Newton wa JF wasiwe na presha ktk kipindi hiki kigumu cha kusubiria div 1 zao.
 
Last edited by a moderator:
acha upuuzi wako
user-online.png
J de real
 
hivi kwa wale wataalamu wa uchawi, mtu anaweza kuloga serikali nzima au huwa analogeka mtu mmoja mmoja!? Nauliza tu maana naona kama serikali imerogwa
 
Mh!? Siasa na elimu! Mwisho wake cjajua utakuwa ni nini
 
Tetesi zilizopo ni kwamba matokeo hayakubadilika sana hivyo wanasubiri bajeti ipite kwanza ndo wayatoe ili wabunge wasimshambulie sana waziri baadala yake lawama zielekezwe NECTA.
 
May u tell us where u got this from. That's intellectualism.
 
hawa watupe matokeo yetu 2 mambo ya mawazir na necta watajua wao tumechoka kukaa nyumban
 
Back
Top Bottom