Imedhihirika kuwa kuna sintofahamu nyingi katika balaza la mtihani la taifa kutokana na kutupiwa macho mengi na wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa elimu. Hii ni sababu kubwa ya wao kuchelewa kutoa matokeo hayo wakihofia mitazamo ya wadau hao. Serikali katika hili bado inajipanga sawasawa.
Mkuu ni vyema uwe unatoa source ili tukuelewe vizuri, Hii itasaidia wakina Isaack Newton wa JF wasiwe na presha ktk kipindi hiki kigumu cha kusubiria div 1 zao.
Tetesi zilizopo ni kwamba matokeo hayakubadilika sana hivyo wanasubiri bajeti ipite kwanza ndo wayatoe ili wabunge wasimshambulie sana waziri baadala yake lawama zielekezwe NECTA.