Kinachoendelea Palestina ni wazi kuwa dunia haiko fair, kapuku hauna wa kukutetea

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi, kiongozi wa kiimla, iddi amini dada alionekana ni the same, Gadadi na wengi neo.

Kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya ugaidi huu unaofanywa kuingia katika nchi za watu na kufanya ugaidi mkubwa wa kuuwa,leo imeahamia GAZA nchi inaingia katika nchi jirani kufanya operation ya kijeshi bila ya kupingwa kwani internation organization zipo kwa lengo lipi?

The world is not fair
 
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi,kiongozi wa kiimla,iddi amini dada alionekana ni the same,Gadadi na wengi neo.

kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya ugaidi huu unaofanywa kuingia katika nchi za watu na kufanya ugaidi mkubwa wa kuuwa,leo imeahamia GAZA nchi inaingia katika nchi jirani kufanya operation ya kijeshi bila ya kupingwa kwani internation organization zipo kwa lengo lipi?

The world is not fair
Nchi zote zinazojihisi zinaonesha zijitoe kwenye umoja wa mataifa
 
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi,kiongozi wa kiimla,iddi amini dada alionekana ni the same,Gadadi na wengi neo.

kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya ugaidi huu unaofanywa kuingia katika nchi za watu na kufanya ugaidi mkubwa wa kuuwa,leo imeahamia GAZA nchi inaingia katika nchi jirani kufanya operation ya kijeshi bila ya kupingwa kwani internation organization zipo kwa lengo lipi?

The world is not fair
Vita waliianzisha wenyewe wakitegemea watasaidiwa na waarabu wenzao, waarabu wameuchuna shida wanapata wao. Anyway hata DRC watu weusi wetu wanauawa pia na hawana wa kuwatetea. Dunia haiko fair at all.
 
Palestina ni wanyonge kivipi, huoni madola makubwa iran, yemen na qatar wanavyoitetea? Ulitaka Marekani na washirika wake waitetee? Mbona huombi urusi na uchina waitetee? Tulia, wapelestina wenyewe si watulivu hawataki amani na wachokozi, wanavuna walichokipanda oktoaa 7
 
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi,kiongozi wa kiimla,iddi amini dada alionekana ni the same,Gadadi na wengi neo.

kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya ugaidi huu unaofanywa kuingia katika nchi za watu na kufanya ugaidi mkubwa wa kuuwa,leo imeahamia GAZA nchi inaingia katika nchi jirani kufanya operation ya kijeshi bila ya kupingwa kwani internation organization zipo kwa lengo lipi?

The world is not fair
Walioigawana Afrika, ni wazungu,
British na wenzie! Mwaka 1884! Hulka Yao ni ile ile, hawatoacha mpaka dunia iishe,
Kwa mataifa yakijinga jinga kama ya Afrika, lazima yatatuliwe kweli kweli,
British, German fucked us,
100 yrs later, chines, Indians, and the wazungu are fucking us again, the only people to help Africans, and few poor Arabs are themselves, the wazungu they don't care if u have blue eyes like them, look at what they are doing to ukraine, and other former Soviet nations, if they can https://jamii.app/JFUserGuide their fellow Anglo Saxon, what do you think they will do to poor Africans, Arabs, asians
 
Back
Top Bottom