Kinachoendelea zao la korosho na soko lake

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,172
Kichwa cha habari kinaongea hapo juu,

Wiki mbili zimepita ambapo wakulima waligoma kuuza mazao yao kutokana na madai ya kwamba bei haikuwa rafiki kwa wakulima hao.

Hali hii imepelekea wanunuzi wa korosho kukosa mzigo na kusikilizia siku ya leo Ijumaa 04/11/2022 ambapo mnada ulipangwa kufanyika tena ili wakulima wauze mazao hayo kwa wanunuzi wa zao hilo.

Mnada leo umefanyika ila katika mazingira yafuatayo;

- Mnada hufanyika hadharani ila leo ilikuwa tofauti.

- Mnada unakuwa huru kwa wakulima na wasio wakulima kufuatilia, lakini leo kila chama cha ushirika kilipewa ruhusa ya kuwaruhusu wakulima wawili tu kutoka katika chama chao wakiwa na ushahidi wa cheti kinachoonesha wameuza korosho

- Bei ilikuwa ndogo ambayo ni 1900 wakati wakulima walikataa hadi 2100 katika minada ya nyuma.

- Mnada ulijaza askari kuliko wakulima ili kuwafanya wakulima wasipinge kuuza mazao yao kwa wanunuzi hao, kifupi walijipanga kivyovyote mnada ufanyike na hakuna mkulima kupinga kutouza na wachache waliopingwa kwa sasa wako Central, korosho imelazimishwa kuuzwa ni hatari sana kama taifa kufikia hatua hii.

Note: Kuna kamata kamata kwa wale wanaoamua kubangua korosho kwa kuhisi Serikali itakosa mapato na wanunuzi kutopata Mzigo kwa wakati.
 
mnada ulijaza askari kuliko wakulima ili kuwafanya wakulima wasipinge kuuza mazao yao kwa wanunuzi hao inshort walijipanga kivyovyote mnada ufanyike na hakuna mkulima kupinga kutouza na wachache waliopingwa kwa sasa wako Central,
 
Nyoko zenu! Mtamkumbuka! Mama salma and the msoga dogs are in the making!! Shwain kuleni manii zenuu sanaa...R.I.P JPM...hizi mbumbumbu za kiswahil zinalizwaa kila uchao..huku marope anapiga umeme..huku nanau anakwapua bundless..shwain kabisaa
 
Nikitaka kushangaa inakuaje 2000 wmegoma Leo 1900 wamekubali ,kumbe jamaa walijipanga kupora ,hii nchi ngumu sana unyonyaji mpaka kwa mkulima
 
Nikitaka kushangaa inakuaje 2000 wmegoma Leo 1900 wamekubali ,kumbe jamaa walijipanga kupora ,hii nchi ngumu sana unyonyaji mpaka kwa mkulima
Safi sana! wakazie hapo hapo hadi miaka ambapo tutajitambua!!
 
Wahuni wamekalia kiti ni mwendo wa kujipigia tu..zumaridi hana usemi anapokea maelekezo tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wahuni wamekalia kiti ni mwendo wa kujipigia tu..zumaridi hana usemi anapokea maelekezo tu.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa kweli ni hatari, Watu wanadhulumiwa mali zao na wanaoitwa walinda mali za wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…