Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi wanafungwa 1-0 na simba hawakuwa wa mwisho. Kwa hiyo ni timu mbili tofauti kiviwango labda uamue tu kubisha .FT. Simba 1 Mbeya Kwanza 0. Siyo kwamba hawajuo mpira ila wamekutana na timu yenye quality ya juu sana.! Kama wangekuwa wabovu basi Simba nao pia wangejipigia mengi tu
Baada ya kamati yenu ya ulozi kuja juu ndo mnashindaWakati Tusingewafunga Mngeshangilia Mpaka Wengine Mngegalagala Na Maneno Ya Dharau Ya Kila Aina Yangewatoka.
Kiongozi wa kikosi cha mizinga kapteni Mayele akisaidiwa na Luteni Ntibazonkiza kwa pamoja wanasema huu upigaji wa mabomu utaendelea mpaka tarehe 28 tutakapopiga mabomu mengine katika mochwari ya makoloInafahamika dhahili msimamo wa timu ya mbeya kwanza na namna ambavyo wapo hoi uwanjani siku zote, si jambo la kujivunia kuwafunga hata kidogo
Si ajabu kpindi cha pili wakawafunga maskini wa watu magoli hata saba
Uzi umekamilika
Bado point 6 tu
Mbona nyie yenu mliwanga na bado Orlando wakawabaka?