No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Mna lipi jipya la kutushawishi labda? mwanaume akipata sababu ya kuoa huwa hachelewi hata kidogo,ukiona unakaa na mwanaume zaidi ya mwaka ujue hajaona jipya kwako yaani huna ubunifu wowote zaidi ya mbinu zako za kupiga mizinga tuu! Mkitokwa povu hapa mkumbuke na kubadilika mtazeeka na sugu zenu.....