Mna lipi jipya la kutushawishi labda? mwanaume akipata sababu ya kuoa huwa hachelewi hata kidogo,ukiona unakaa na mwanaume zaidi ya mwaka ujue hajaona jipya kwako yaani huna ubunifu wowote zaidi ya mbinu zako za kupiga mizinga tuu! Mkitokwa povu hapa mkumbuke na kubadilika mtazeeka na sugu zenu.....
Et ukiona mwanaume yuko kimya ujue hajaona jipya kwako, isipo kuwa style za kupiga mizinga...
Hili ni jiwe gizani mkuu, limewagusa wengi wa jinsia ya ke,
Ngoja tuwasubiri tuone wanavyorukaruka huu uzi na upepo mwingi hatari.