Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mambo yanazidi kuwa mabaya kwa kenya huku polisi na familia zao wakijikuta wapo matatani pamoja na viongozi wao.
Mbunge Dadaab Farah Maalim amejikuta wakati mgumu huko mombasa baada ya kutoa kauli yake kuwa angekuwa raisi mfano yeye kila siku angewaua watu 5000 wanaofanya mgomo.
Kauli hii imepelekea kila anapokwenda wananchi wanatoa onyo kuwa watashambulia kokote alipo.
===
Mbunge wa Dadaab Farah Maalim amefukuzwa katika hoteli ya Sarovah Whitesands mjini Mombasa pwani ya Kenya kufuatia kauli yenye utata aliyotoahivi karibuni dhidi ya waandamanajivijana wa Gen Z.
Katika video iliyosambaa kwa kasi mitandaoni mbungehuyo anaonekana akisema ‘’waandamanaji walifanya uhaini na laiti angelikuwa rais angeliwangamiza’’
Vyombo vya Habari vyandani vinaripoti kuwa Mbunge huyo alifika katika hoteli hiyo siku ya Ijumaa.
Mkurugenzi Mkuu wa Sarovah Hotels and Resorts KenyaJimi Kariuki alitoa tangazo la kufukuzwa kwambunge huyo katika mtandao wa X zamani Twitter baada ya baadhi ya watumiajiwake kuishtuma kwa kumruhusu kukaa hapo.
Bw. Kariuki asisitizakuwa hoteli hiyo haikubaliani kwa vyovyote na kauli ya Maalim.
Katika video hiyo ambayo haijulikani ilirekodiwalini, Maalim, akizungumza kwa lugha ya Kisomali anaonekana, akisema kuwa kamaangekuwa Rais wa Kenya angewaua waandamanaji 5,000 kila siku.
Tafsiri ya video iliyothibitishwa ilifichua kuwambunge huyo alikuwa akiwashutumu Vijana wa Kenya kwa jaribio lao la kuandamanahadi Ikulu wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa fedha wa 2024.
Mbunge huyohata hivyo amekanusha madai hayo akisema video hiyo ilifanyiwa ukarabati.
NITAKUWA NIKITOA TAARIFA