I doubt uwezo wa rais kuwa huyu mama atakuwa remote tuWame punt. Mamlaka ya kuzuia wamepewa wakuu wa mikoa na wilaya. What do you expect? Yote ni ili watu fulani waendelee kujaza stadium na wengine wazuiwe kila mkutano wao. Inasikitisha sana.
Amandla...
Huo ni uthibitisho mwingine Mungu anailinda Tanzania.Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Unasema shwari kwa sababu ndugu yako hajafa?Huo ni uthibitisho mwingine Mungu anailinda Tanzania.
Wewe ombea mabaya unavyotaka lakini kamwe hayatatokea Tanzania. Hakuna hospitali iliyoelemewa wala itakayoelemewa, watu tukiumwa tunaenda hospitali kilichopo ni foleni ya kawaida tu.
Mama Tanzania alitutisha hivyo hivyo kuwa wiki mbili zijazo watz watakufa sana, imeishapita wiki moja na mambo yako shwari.
Kwani malaria haiui? tezi dume haiui? nkUnasema shwari kwa sababu ndugu yako hajafa?
Amandla...
Tunavojaribu kupoint out matatizo tujaribu kuja na solution itatujenga kama Taifa na vizazi vyetu. Infact wote wanaongia ni watu wazima wanajua matokeo ya kujazana sio jukumu la serikali kuact kama monitor kwa kila jambo.Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Kuna wakati Magu alikuwa na msimamo na jambo na litaheshimiwa...hapo nimsifu.
Lakini huyu Samia hamaanishi katika vita vyake. Kama ameamua kupigana na corona utoto huu ungepigwa marufuku.
Uvuguvugu wa kiongozi ni udhaifu mbaya sana
Mhhh!..SSH anatishwa na watu wa Magufuli.
Mhhh!
Wakikusanyika wamevaa barakoa ,wataambukizanaje?Wakati was kumuaga mpendwa wetu JPM walijaa kila kona.Lakin corona iliisha ghafla.Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia