Umalaya ndio kipaji chao

hapana "kaka watu wengi wanafikiria umiss ni umalaya no hapa sanaaa tu kama sanaa zingine"..miss IFM 2011

hapana "kaka watu wengi wanafikiria umiss ni umalaya no hapa sanaaa tu kama sanaa zingine"..miss IFM 2011
Umalaya ni tabia ya mtu na haina uhusiano na mashindano ya u-miss. Kuna wasichana na wanawake wengi tu ambao wamepitia kwenye mashindano hayo lakini wanajiheshimu. Mfano Hoyce Temu, Shose Sinara, yule mhindi, Emily Adolf, Anna Maeda nk ambao maisha yao baada ya mashindano hayajagubikwa na skandali. Kitu muhimu ni kwa waandaaji kuwatayarisha dada zetu ili waweze kukabiliana na maisha ya usupastaa kwasababu kinachowaathiri zaidi ni ile hali ya kushindwa kukabiliana na aina ya maisha baada ya mashindano.
Wanashawishi wasichana wawe na wanaume zaidi ya mmoja let say mmoja kwa ajili ya vocha mwingine matanuzi mwingine mambo flani!ili kukidhi haja zao hivi kinaporushwa maongezi yanakuwa ya namna hii kweli jamani inasikitisha sana kwa sababu kinaangaliwa na watoto wetu,dada zetu mama zetu na kuwafundisha kuwa ni vzr kuwa na mwanaume mmoja hebu me nafikiri wajalibu kufikiri namna au vitu vya kuonyweshwa kwenye publi kama ndo maongezi yao basi wayafanyie vyumbani mwao wajinga wakubwa!watia hasira sana!ahaaaaaaaa

Ngoja niongezee hapo. Hapa sasa siongelei mamiss tu naongelea watu wote. Unakuta mtoto wa shule anaenda shule anatandikwa kinoma na maticha, akirudi nyumbani anatandikwa na wazazi anaambiwa yeye ni mtoto hajui kitu. Hii inamjengea mtoto uoga unakuta watoto wakiojiwa kwenye TV anaonaona aibu kujielezea. Umeona watoto wa kizungu walivyo wanajiamini? Mi nilikutana na mtoto wa kizungu wa miaka 8 yaani uwezo wake wa kufikiri ulinishangaza sana. Nikaja kugubdua kwamba sio kwamba ana akili kuliko mtu mweusi, la hasha nikagundua kwamba anaamioni kwamba idea zake ni strong kama mtu mwingine yoyote katika age yake za zaidi. Solution ni kwamba kama una mtoto mchape mpaka awe na umri wa miaka 5 then kuanzia hapo ni counselling tu ndo inakuwa inafuata. Counseling inajenga zaidi ya kiboko.

Ciao
Umalaya ni tabia ya mtu na haina uhusiano na mashindano ya u-miss. Kuna wasichana na wanawake wengi tu ambao wamepitia kwenye mashindano hayo lakini wanajiheshimu. Mfano Hoyce Temu, Shose Sinara, yule mhindi, Emily Adolf, Anna Maeda nk ambao maisha yao baada ya mashindano hayajagubikwa na skandali. Kitu muhimu ni kwa waandaaji kuwatayarisha dada zetu ili waweze kukabiliana na maisha ya usupastaa kwasababu kinachowaathiri zaidi ni ile hali ya kushindwa kukabiliana na aina ya maisha baada ya mashindano.

sasa ili mtu ashinde inabidi umpigie kura.sms 150tsh.yani kama bongo star searc(bss).so hapo tegemea kutumiwa 200000tsh ya kumpigia mtu fulani kura.halafu mwisho wa siku ataitwa miss Tanzania.mia