Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkutano Mkuu wa Desemba 03 mwaka 2017 ilishaazimia kuwa Dewji apewe hisa 49%. Sasa kwa nini mchakato haurasimishwi??Unauhakika kuna hisa za kuuza au ni ujanja ujanja
Usilete uchochezi wa Mzee Mpili hapa!!Hisa zote amezichukua mwekezaji wetu kimya kimya. Na kama huamini, muulize Mzee Kilomoni.
Muda waliokubaliana ukifika watauza au wewe unaijua deadline yao ya kuuza hisa zao?Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
"Deadline" huwa inakuwa na "Initial time" sasa wao wanakuwaje na Deadline bila ya kuwa na Initial time?? Lini walianza kuuza hisa zao au lini walisema wameanza kuweka muda kabla ya hisa kuuzwa??Muda waliokubaliana ukifika watauza au wewe unaijua deadline yao ya kuuza hisa zao?
SawasawaHisa zote amezichukua mwekezaji wetu kimya kimya. Na kama huamini, muulize Mzee Kilomoni.
Mo pekee ndiye mwenye hisa mpaka sasa na wanachama....hizo za wanachama haziuzwi labda mo apunguze auze baadhi.Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
Kumbe Kassimu Manara Hakukosea, ndiyo maana alisema kwa kujiamini sana!!
Mwekezaji wetu ni mjanja mjanja sana. Hivi usikute anatafuta tu pozi za kukwapua hela za kufuzu makundi na robo fainali, kwa kisingizio cha kufidia hasara "hewa" aliyoipata.Nani ata risk kuwekeza pesa zake sehemu inayo pata hasara? kila siku Mo analalamika hakuna faida anayo pata zaidi ya kuchoma pesa zake
Na tunataka achukue hisa zote kabisa mwamedi wetu 😆 😆 😆 😆Mo pekee ndiye mwenye hisa mpaka sasa na wanachama....hizo za wanachama haziuzwi labda mo apunguze auze baadhi.
Scars OKW BOBAN SUNZU Kalpana
Auziwe lakini...Na tunataka achukue hisa zote kabisa mwamedi wetu 😆 😆 😆 😆