Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
Muda waliokubaliana ukifika watauza au wewe unaijua deadline yao ya kuuza hisa zao?
 
Muda waliokubaliana ukifika watauza au wewe unaijua deadline yao ya kuuza hisa zao?
"Deadline" huwa inakuwa na "Initial time" sasa wao wanakuwaje na Deadline bila ya kuwa na Initial time?? Lini walianza kuuza hisa zao au lini walisema wameanza kuweka muda kabla ya hisa kuuzwa??

Hizi ndiyo utopolo kina Tate Mkuu wanaita Janja janja!!
 
Nani ata risk kuwekeza pesa zake sehemu inayo pata hasara? kila siku Mo analalamika hakuna faida anayo pata zaidi ya kuchoma pesa zake
 
Nani ata risk kuwekeza pesa zake sehemu inayo pata hasara? kila siku Mo analalamika hakuna faida anayo pata zaidi ya kuchoma pesa zake
Mwekezaji wetu ni mjanja mjanja sana. Hivi usikute anatafuta tu pozi za kukwapua hela za kufuzu makundi na robo fainali, kwa kisingizio cha kufidia hasara "hewa" aliyoipata.

Na uzuri na mashabiki wake qanataka kuona tu timu imeingia robo fainali! hakuna wa kumuuliza.
 
Nyinyi si mnataka furaha tu sasa muuziane hisa za nini muachieni Mo na Fatema wasimamie show nyinyi subirini kushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…