Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani.
Upande wa pili hali inaonyesha kwamba wanaopinga wana wivu kwa sababu aliyeleta hoja siyo wa dini yao. Mpasuko huu ni mkubwa sana hasa pale agenda inapotumia ID ambazo siyo sahihi kwenye social media.
Yawezekana wapo wasaidizi wa karibu kabisa wa utawala uliopo madarakani ambao wanapinga hi kitu wakiwemo mawaziri na makatibu wakuu.
Wakati wa Magufuli siri zilivuja sana akapambana na wanaojadili siri zake badala ya kupambana na wasaidizi wake waliokuwa wanazivujisha. Lakini waliokuwa wanavujisha siri walikuwa wazalendo kwa sababu kila walichovujisha kilikuwa na madhara kwa umma.
Naamini hata kwenye utawala wa sasa wanapaswa kujiuliza waliopo jikoni wanakubaliana na kinachoendelea? Kama ambavyo akina Nape waliweza kurekodiwa wakimteta mzee yawezekana wapo wenzao ambao mpo nao kimwili ila kiroho ni maadui.
Uzuri wa uadui huu ni kwamba una maslahi kwa taifa ndio maana leo tuna mkataba wa siri unajadiliwa na jamii na imemsaidia mtawala kupata opiniilon za wananchi.
Niwaombe watawala wakubali kwamba taifa limegawanyika kati ya imani na hii imeletwa na bandari against wanaounga mkono bandari, neutrality imekosekana hata ya kinafiki.
Tusikimbie kuwekeza turudi tuunganishe taifa; tumekuwa wamoja miaka 60 na umaskini wetu, bora tuache kuwekeza kuliko kuwekeza kwenye nafsi zisizo na umoja na ubaguzi