Kinachomfanya Alikiba asishuke kimuziki sio huruma ya watanzania bali ni tungo zake Matata sana

Kinachomfanya Alikiba asishuke kimuziki sio huruma ya watanzania bali ni tungo zake Matata sana

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
681
Reaction score
2,501
Habari JF

Watu baadhi walikuwa wakizusha, kuwa Alikiba anatumia huruma ya Watz , hili kuendelea kusumbua hapa Tz.

Lakin sio kweli msanii Alikiba amejaliwa sauti nzuri yenye mvuto wa aina yake na, pia katika uandishi amefanikiwa kuliteka soko. Huwezi kuwa na akili timamu ukasikiliza nyimbo za matusi kama Jeje ya Mond , Alafu ukaiacha Mshumaa.


Alikiba uchawi wake hupo katika mashairi yenye kutumia Akili na sio kingine.

Hila akijisahau akaanza kuandika nyimbo kama nyegezi hilo ndo litakuwa kaburi lake.
 
"Kinachofanya Ali kiba asishuke kimziki"

hii kauli nimeirudia kuisoma mara mbilimbili nikajua mleta uzi amekosea kutype kumbe anamaanisha bhna 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
AliKiba hadi leo anajiona kuwa anastahili kupambanishwa na msanii kama Diamond. Uwezo wake kimziki ni mdogo sana wala sio tungo na sauti yake.

Hajui hata afanye nini kwa muda upi na vipi afanye.
Anachojua ni kutoa NGOMA tu hizo habari za nini kwa wakati upi na MI KIKI hakuna hiyo Muziki unaenda wenyewee bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ndio tofauti ya kutumia nguvu nyingi kuwa msanii na kuwa msanii tu.

Kitu nimegundua kiba amekuwa mwanamuziki,wakati mond ni msanii.

Ukitaka kuelewa ninachomaanisha.jiulize kwanini anatajwa tajwa mbali na kufanya kazi zake kizembe zembe???
 
Back
Top Bottom