Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Utawezaje kuiongelea Ccm bila kuitaja Chadema?
"Kinachofanya Ali kiba asishuke kimziki"Kumzungumzia kiba sasa hivi ni kupoteza muda kiba kashashuka kimziki muda mrefu amepitwa hata na Rayvanny, Harmonize na mbosso
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Kinachofanya Ali kiba asishuke kimziki"
hii kauli nimeirudia kuisoma mara mbilimbili nikajua mleta uzi amekosea kutype kumbe anamaanisha bhna 😂😂😂
Kama ambavyo hamuwezagi kumuongelea Mondi bila Kumtaja KIBA TULIENI.
Na hakuna mtu anaumia na Kiba kama we jamaa hakuna sehemu kwenye post ya KIBA haupo kukoment hahahahahahahaaaaaaa unapata tabu sana.Kumzungumzia kiba sasa hivi ni kupoteza muda kiba kashashuka kimziki muda mrefu amepitwa hata na Rayvanny, Harmonize na mbosso
Anachojua ni kutoa NGOMA tu hizo habari za nini kwa wakati upi na MI KIKI hakuna hiyo Muziki unaenda wenyewee bro.AliKiba hadi leo anajiona kuwa anastahili kupambanishwa na msanii kama Diamond. Uwezo wake kimziki ni mdogo sana wala sio tungo na sauti yake.
Hajui hata afanye nini kwa muda upi na vipi afanye.
Ukitaka kujua namna jamaa alivyopotea hata nyinyi mashabiki zake hamumuakini ndomaana mmekimbilia kwa kondeboyNa hakuna mtu anaumia na Kiba kama we jamaa hakuna sehemu kwenye post ya KIBA haupo kukoment hahahahahahahaaaaaaa unapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app