Kinachomgharimu Zari ni Kutaka kuolewa na vijana wakati yeye ni mzee

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Hivyo inambidi avumilie Figisu za muuza Katanga maana hamna namna, kwa sababu yeye damu bado inachemka
 
Diamond amtongoze wapi bibi ndiye atakuwa alimshawishi kijana wa watu sasa amekuwa mjane kijana wacha nae atafute vitu vya moto moto
 
Hivyo inambidi avumilie Figisu za muuza Katanga maana hamna namna, kwa sababu yeye damu bado inachemka
Sorry mwanzisha Uzi hivi mwanamke bibi anazaa? Huu umri unaoujua wa Zari wa kuitwa bibi ni upi kwa sababu hata miaka 40 hajatimiza. Kwa taarifa yako Mapenzi siyo umri ingekuwa hivyo Machache asingependwa na Jaq. Next time acha kutukana wanawake kwa sababu na wao wana haki ya kumpenda wamtakae irrespective the age. Mwanaume ukishatimiza miaka 18 unachukuliwa na yeyote aliye katika umri wa kisheria wa kuolewa. Hutaki Muulize Emanuel Macroni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…