Kinachomgharimu Zari ni Kutaka kuolewa na vijana wakati yeye ni mzee

Hahahah Machache[emoji23][emoji23]nimecheka sana
 
Haya mambo yatapita kama upepo, au mmesahau akina Amina Chifupa na Mpakanjia, walivuma sana miaka yao.
Mmoja anatafuta mwenza wa kutulia nae ajenge familia mmoja bado anakula ujana hapo inakuwa ngumu kuchangamana.Atafute wa kujenga nae familia Vijana watampasua kichwa
 
Diamond alikuwa Hamtaki zari Siku nyingi tu,, Oooh zari mzuri Ooo zari sijui nini mbona kufanyiwa vituko mpaka kanynyua mikono juu, kagoma hatoki boi
 
ACHA ZAKO NG'OMBE HAZEEKI MAINI..

ALAFU UKUMBUKE ZALI HANA NJAAAA NJAAA ,,KWAIYO ANATAKA TU MTU WAKUMUENDESHA KITANDANI .

SASA UNAZAN NAN ANAWEZA KM SIO VIJANA TAIFA LA KESHO ???
Ni hivi apate wa Huko atuachie mtz wetu
 
Sio anapenda vijana,anapenda kuishi kama celebrity hiyo ndio inamgharimu sana huyu dada,a beautuful,talented and rich woman,but love affair has almost ruin her entire happiness..
 
Mondi Hawezi kuwa na Zari peke yake. So ni kawaida na wengine wapate Huduma.
 
Hivyo inambidi avumilie Figisu za muuza Katanga maana hamna namna, kwa sababu yeye damu bado inachemka
HAHAAAA KUACHIKA RAHA BANA MTAONGEA YOOOTEE NDIO ASHAWADIS HIVYO

MTOTO WA KIGANDA AKUJA KUTAFUTA KITAMBULISHO CHA TAIFA KHA MSIMZEESJE SHEMEJIYANGU MIE MWACHENI ALE RAHA
 
Nimempenda zari alivyo jiengua mwenyewe.......kama Zuma vile!
 
Sio anapenda vijana,anapenda kuishi kama celebrity hiyo ndio inamgharimu sana huyu dada,a beautuful,talented and rich woman,but love affair has almost ruin her entire happiness..

Samahani mkuu, Huyu mama watano ana talent gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…