kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu kwenye ligi zenye balaa hili la rangi.
Watoke kutoka nyekundu kuja blue angalau.
Ni porojo lakini porojo zenye ukweli