Ndio,ukinya mavi yenye rangi tofauti na ya njano ni utakuwa unaumwa..au yakwako meusi..meusi ni mavi ya masikiniWe mavi yako ni ya njano siyo?
CrapSijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu kwenye ligi zenye balaa hili la rangi.
Watoke kutoka nyekundu kuja blue angalau.
Ni porojo lakini porojo zenye ukweli
Kwa hiyo wewe unaonea fahari hayo marangi ya timu yenu yanayofanana na rangi ya kile chama chenu? Rangi ya Kijani inapendeza ikiwa kwenye MIMEA TU na si vinginevyo.Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu kwenye ligi zenye balaa hili la rangi.
Watoke kutoka nyekundu kuja blue angalau.
Ni porojo lakini porojo zenye ukweli
Nakazia hapaKwa hiyo wewe unaonea fahari hayo marangi ya timu yenu yanayofanana na rangi ya kile chama chenu? Rangi ya Kijani inapendeza ikiwa kwenye MIMEA TU na si vinginevyo.
Ila Simba nao sijui kwanini wanaing'ang'ania sana rangi nyekundu? Mbona rangi yao nyingine rasmi- nyeupe huwa hawaitumii sana? Rangi nyeupe kwenye jezi inapendeza sana!
"Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa Uhunzi". Tukutane Derby ijayo ili tuwanyooshe nyie Utopolo!
Kumbuka; Simba ni mnyama Mkali na anayetisha sana mwituni. Usione kalowa ukaingia kichwa kichwa, utaumia.
Ushauri/pendekezo: Derby ijayo timu yetu pendwa ya Simba, yenye historia iliyotukuka kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati vaeni jezi za Rangi Nyeupe.
Nakubali mkuuRangi nyekundu ni rangi ya heshima,kitajiri,utawala,ushindi na kishujaaa..
Ikulu..marais na falme hutumia rangi nyekundu kama rangi ya heshima...njano ni inawakilisha mavi mavi ya mwanadamu na kijani inawakilisha mavi ya ndege na wadudu fulani kama nzige na wengine wanaoharibu nafaka.
Rangi nyekundu ni hatari usisogee kifala fala utakufa.
Rangi nyekundu inafsiri nyingi sana..Sisi wakristo damu ya Yesu ni ishara ya ukombozi
Nb.Nakusauri wewe darasa la saba ..uwaache kuandika mambo kama hauna uelewa mpana kuhusu hilo jambo
Mishabiki ya yanga ni mijingaaaš¬Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu kwenye ligi zenye balaa hili la rangi.
Watoke kutoka nyekundu kuja blue angalau.
Ni porojo lakini porojo zenye ukweli
SanaMishabiki ya yanga ni mijingaaaš¬
Kuna sheria zilizoandikwa na ambazo hazikuandikwa lakini zote zinafanyakazi. Hakuna sheria inayokataza rangi nyekundu lakini timu zote hazina jezi nyekundu ispokuwa Simba na dada yake coastal Union. Kama utapekuwa kwanini hivyo utagundua kuwa Simba na coastal union Zina historia inayorandana, hawakuwa wenzetu hawa kitabia, muonekano na maono.Hoja mfu. Hoja isiyo hoja. Kwanza si kweli kuwa Tanzania hatukumwaga damu katika kupigania uhuru. Tukianzia Vita ya Maji Maji hadi Mapinduzi ya Zanzibar.
Pia rangi nyekundu katika jezi ya klabu haina uhusiano wowote na rangi ya bendera ya nchi maana hakuna takwa la kisheria linalotaka iwe hivyo unavyosema.
Mwisho damu si kitu kibaya na ni sehemu muhimu katika mwili wa mwanadamu. Si mbaya kuienzi moja ya kitu kinachowakilisha UHAI WA MWANADAMU.