Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wakuu, kile kinachotokea Mlimba kulazimisha yule jamaa apite bila kupingwa, kinapaswa kutizamwa kwa jicho la pili, kila kitu kinaonesha kuwa yupo mtu wa ngaz ya juu pengne wa mwisho kule yuu kimamlaka ndio ametoa maelekezo kuwa tangaza hivi, kwa hiyo kama ameamua hivyo maana yake majimbo mengi ya waliopita bila kupingwa kaamua yeye iwe hivyo.
Kwa maana nyingne huyo mtu atakuwa na list ya wabunge wake Mkononi ambao iwe isiwe, washinde kwenye kura wasishinde ataitoa baadae na kuamuru watangazwe, hapa wewe kama ni Mbunge wa upinzani unagombea Jimbo ambalo ana mtu wake wa karibu Au anaempenda unapaswa Kuanza kuandaa plan B ya kutangazwa.
Usikae pasipo na plan B, huyo mtu unaegombea nae anaweza kutangazwa pasipo kufuata matokeo ya kupiga kura, wewe fuatilia kwenye mikutano yake utawafaham wale aliokuwa akiwasifia Halafu jiongeze, kuna hatari sana huyu mtu kuja kutumbukiza taifa kwenye shida.