Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua, sio kwamba hatuwezi, hapana. Ila kuna dhana tofauti tulizonazo zinatujenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo. Nikwambie tu, hebu futa maneno uoga, umasikini, uongozi, kazi, wivu kichwani mwako, halafu niambie, jambo gani limekuja akilini mwako?