Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
let say umasikiniUngetoa mfano wa hayo mambo tuliyofeli ingekua poa sana.
kuna vitu vipo nje ya uwezo wako tu hata uwe positive kivipilet say umasikini
tunashindwa kufanikiwa sababu ya neno umasikini limetengenezewa misingi ya ukosefu ila ukiwa positive unaweza kuiona hali ya kawaida na hatimae ukapambana nayo kwa njia ya kawaida tu.
Sure .let say umasikini
tunashindwa kufanikiwa sababu ya neno umasikini limetengenezewa misingi ya ukosefu ila ukiwa positive unaweza kuiona hali ya kawaida na hatimae ukapambana nayo kwa njia ya kawaida tu.
Sawasawa 🤒let say umasikini
tunashindwa kufanikiwa sababu ya neno umasikini limetengenezewa misingi ya ukosefu ila ukiwa positive unaweza kuiona hali ya kawaida na hatimae ukapambana nayo kwa njia ya kawaida tu.
unatakiwa kuhandle hilo jambo ili uweze kubalance na mambo mengine hata kama halitibiki,na unaweza kutumia njia hiyo kuwashauri au kuwanasihi watu dhidi ya ugonjwa kama wako.kuna vitu vipo nje ya uwezo wako tu hata uwe positive kivipi
kamuambie mtu mwenye cancer isiyotibika awe positive
Umewaza nini mwamba?kuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua sio kwamba hatuwezi hapana ila kuna dhana ya tofouti ambayo tumekuwa nazo zinatjenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo ila nikwambie tu,hebu futa neno uoga,umasikini,uongozi,kazi,wivu kichwani mwako alafu niambie kuna jambo gani likuja katika akili yako?
Kuna kipindi niliumwa miguu na a sehem zote za joint ilikuwa ngumu kutembea nikaanza kutumia zile dawa za kutia ganzi (flamer) kama sikosei ,lakini ukiisha nguvu maamivu yanarudi kwa ukali zaidi hii hali niliishi nayo kwa miezi kadha lakiniKuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua, sio kwamba hatuwezi, hapana. Ila kuna dhana tofauti tulizonazo zinatujenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo. Nikwambie tu, hebu futa maneno uoga, umasikini, uongozi, kazi, wivu kichwani mwako, halafu niambie, jambo gani limekuja akilini mwako?
Oya siyo rahisi hivyo.unatakiwa kuhandle hilo jambo ili uweze kubalance na mambo mengine hata kama halitibiki,na unaweza kutumia njia hiyo kuwashauri au kuwanasihi watu dhidi ya ugonjwa kama wako.
cosequently life become good.