GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Ni wazi kuwa soka letu haliwez kuendelea kama tutendelea na tabia za kudhan sisi ni watoto wa timu flan kubwa. Hivyo tunapocheza nazo tunapaswa kuziachia. Haya mambo yanaonekana sana katika timu za Tanzania.
Tunafaham pia kuna suala la Uongoz au kocha wa timu ndogo kuwa na uhusiano na timu kubwa hivyo mara wakutanapo hucheza chin ya kiwango kwa makusudi ili kuisaidia ile timu kubwa.
Na hili ni moja ya jambo linalosababisha timu zetu zisifanye vizur mech za nje na pengine pia nazo zishuke kiwango. Tunakumbuka timu kama MBEYA CITY ilivyokuwa imeanza vipi na kupendwa karibia nchi nzima.ila ikaja kuonekana kuwa kuna unasaba na timu flan kubwa na kila zinapokutana kuna kuuza au kuachia mechi na mwshowe timu hiyo ilianza poteza mashabik.
Wakat flan makocha huhusika na jambo hilo. Kama kocha ni mshabiki wa simba au yanga anahakikisha mara achezapo na team yake pendwa anaipa point zote sita.
Wakati mwingine ni uongoz wa klab husika. Huwa nao unahakikisha kuwa mechi hiyo wanatoa points kwa team wanayoishabikia.
Pia kumekuwa na suala la wachezaji kuhongwa na team flan. Kashfa hii imekuwa nayo ikisikika sana kila mara. Inawezekana wakawa mabeki au makipa ili kuhakikisha wachezaj wa team flan wanapata nafas za kushinda.
Jambo hili kiuhalisia linaua mpira wa tanzania. Maana mara timu hiz zinapokuwa kwnye mashindano ya kimataifa huwa zinapoteza mech kutokana na kule kukutana na ushindan halal. Miaka yote tutajikuta tunakuwa washiriki tu au nako tukute team dhaifu za visiwa vya shelshel,comorro,mauritius n.k
Tusiishie kuwa washiriki miaka nenda rudi na tambo za kipuuzi. Mpira hauchezwi magazetin na midomon. Tufanye ushindan wa kwel kwel mashindano makubwa.