Habari wana JF?
Kinachonifanya niulize hivi ni kuna skendo imetokea ofisini as follows;
Wafanyakazi wenzetu wamekutwa wakila uroda ofisini muda wa lunch, sie twaenda lunch wao wanajifanya wako busy kwamba watachelewa kwenda lunch.
Bad lucky, kuna mtu alishtukia mpango mzima akavunga anaenda lunch then akarudi kupiga chabo. Alipohakiki kweli wanabanjua amri ya sita ofisini alikuja kuita staff wengine nao wakaone.
Loh! Kilichotokea ni kwamba yule binti alipogundua kaonwa na staff wenzie, alitoka mbio mpaka leo hii ni siku ya nne hajakanyaga ofisini na mtaani haonekani ilhali mzinzi mwenzie anakuja kazini na tena anachukulia kama ni ujiko fulani hiviii.
Swali ni; kwanini ukimbie tena mpaka ufikie kuamua kuacha kazi ilhali ulitongozwa na kufikia maamuzi kwa hiyari yako kutafuniwa ofisini?
Kwa nini yanapotokea maswala ya fumanizi aibu huelemea kwa mwanamke pekee na si kwa wote?

thithemi kitu......watu umbea!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna siku tulikuwa tunapiga pepa term form three, kulikuwa na wanafunzi wawili wa kiume na wa kike, walitoka darasani huku wamemamliza pepa sijui kama waliufanyia vizuri ule mtihani, tulipomaliza pepa tulijiondokea kwenda zetu home,njiani sasaa, aisee hiyo siku ilikuwa tamu ya aina yake.
Nilikuwa na washkaj wanne kuna njia tulikuwa tunapita na tuliwafuma wakibanjuana kasehemu ambako tuseme kwenye nyumba inayoendelea kujengwa iko bondeni na sisi tulipiga chabo kutoka kakilima kadogo bahati nzuri hiyo nyumba haikuwa na paa, sasa tulipiga mwanzo wa mchezo hadi walipomaliza na kujiondokea na tuliwafuata kwa nyuma wakaingia mtoni wakaendeleza mchezo tena na walipomaliza wakaogelea na wakajiondokea tena wakaelekea kwenye kibanda cha kuku wakaingia ndani wakaendeleza mchezo tena baadae tukawaona wametoka kwenye kibanda,mkaka alichafuka nyuma ya shati lake la shule tukajua walitumia staili ya dada juu na jamaa chini, tulicheka saaana mpaka tulijiondokea.
Nadhani CCM ndo wako kwenye nafasi nzuri ya kukujibu vyema. Ni Chama tawala na kinasimamia mambo yote ya nchi hii na watumishi wake. Labda waliogopa vinasa sauti kwenye mahotel/guest houses.... si mnajua sasa hivi huko ndiko CCM inakochakachulia matokeo ya uchaguzi ili nanihino ashinde?!
Kama ni kweli, nafikiri hiyo ilikuwa bonge la burudani kwa nyinyi watazamaji na pia wale waliokuwa wanatazamwa!