Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Muwe mnawaambia ukweli sasa, sio kusingizia kwenda kuangalia mpiraKwani ukisha kuwa na mpenzi hutakiwi kwenda sehemu za starehe
Kwambaaaa wapenzi wanaume wanapenda kushika makalio,na wapenzi wanawake wanapenda kushikwa makalio???Hii ndio sababu kuu inayowafanya wapenzi wenu watembelee maeneo ya starehe.
Utapambana sana kumzuia; lakini atasingizia anaenda kucheki mpira, mara kupata moja mbili tatu, mara kusikiliza mziki, mara kujadili mambo ya kikazi au kibiashara na marafiki zake n.k
Ila ukweli ni huu..
View attachment 3093236
Uongo sio dhambiMuwe mnawaambia ukweli sasa, sio kusingizia kwenda kuangalia mpira
Kubadili mazingiraYaani waenda kubambia au?? kwanini asiende na mpenzi wake akambambie kwa uhuru, maana naona huo mshangazi kama hautaki hivi ila msela anafosi
Ndivyo yanavyofanyika huko waendakoKwambaaaa wapenzi wanaume wanapenda kushika makalio,na wapenzi wanawake wanapenda kushikwa makalio???
Inabidi tutenge dk 45 za kushika na kushikwa Kila siku ila kumaliza tatizo😅Ndivyo yanavyofanyika huko waendako
Ata mke akitoka, anakutana na hayo hayo 😀Acha umbea wewe mtoto wa kiume unakosaje kifua?
Hamna ambae hajui ila kaushaaaaAta mke akitoka, anakutana na hayo hayo 😀