Miaka mingi wametumia wingi wa wapiga kura kwa kusema ccm walihamasika wakawapigia kura waoKwa miaka mingi wananchi wamekuwa hawapigi kura kwa sababu hawaoni umuhumu ikiwa mshindi anajulikana ni wa kuchonga. Kimsingi tuliwachelewesha wananchi kwenye hili.
Yana hata wasipopiga atapata zaidi ya idadi ya wapiga kura waliojiandikisha.wakipiga kura watu 10 bado atapata kura milioni 70
Ni sawa hivyo kuliko kusindikiza ujinga. Mnadanganywa mnashiriki, wanaitangazia dunia wameshinda kidemokrasia.CUF walisusia uchaguzi. Wakapita wabunge wa CCM kwa kura chache sana. Wakakejeliwa na CCM na wapinzani.
Ikitokea CDM wasishiriki CCM watafurahi sana.
View attachment 3294582
Kwa mfumo huu hata 100% kinyume chake hata 30% hapati.
It will be great, but if they don't care, don't vote. They will win regardless, so why waste your time?They don't care
Ni kweli tupu
Bila chenga
Yeah
CCM hawahitaji kujibu hoja, hawayaki Chadema kueleza ukweli kwa wananchi.CCM hawana hoja za kujibu kuhusu No reform ni weupe..
Sasa hivi wameanza kuomba poo kwa mapolive wao.
Na bado - huko ni mbiga tu bado Kanda ya Ziwa - mtapandisha presha hadi 389 kwa 10
Lissu si Mbowe mliyezoea kumchezea chezea.
Hahaha kweli aiseeMiaka mingi wametumia wingi wa wapiga kura kwa kusema ccm walihamasika wakawapigia kura wao
Sasa wananchi wakihamasika wasiende kupuga kura itakuwa aibu kubwa kwa ccm.
Ndio maana wanatafuta njia kuilainisha chadema.
Yani wawahamasishe wasiende kabisa, CCM ijione inawanachama wangapi, maana chawa huwa wanazaana kwa wingi tutathibitisha October 2025.
Kwanini wasishiriki uchaguzi, huku wakihamasisha kama wataibiwa wataleta maandamano nchi nzima kila kituo cha kupiga kura, kila sekemu, mkoa Tanzania?
Wakishiriki hawawezi kukosa kura hata milioni tano. Itawapa wabunge hata 30. Hao wanaweza kuwa sauti yao bungeni. Duniania. Pia watapata ruzuku. Ipi ni better options.
Usishiriki uchaguzi uwe pembeni, irrelevant, mfu, usiye na sauti au ushiriki uwe na sauti, pesa, relevant?
Chama pekee kinaweza kushinda jimbo ni CHADEMA hivyo vingine labda vipewe kama CCM ifanyavyo miaka yote.
CHADEMA wasishiriki, ni ujinga kushiriki ukiwa unayajua matokeo.
Kitendo cha CHADEMA kuto kushiriki HUTOONA wanachi wakienda kupiga kura, amini hilo.
Kupata kura Milioni 5 halafu huna mbunge na huna urais inakusaidia nini?
Serikali za mitaa walipata zero, na Ubunge Zero, Urais Zero, sasa unashiriki kumfurahisha nani?
CHADEMA wasishiriki wahamasishe no election...hawawezi kupewa kura halali.
..dola itahakikisha Cdm wanapewa kura kiduchu ili ruzuku nayo iwe kiduchu washindwe kuendesha chama.