Kinachowaumiza na kitakachowaumiza zaidi wanachama wa CCM

Nitashangaa mno kama Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au MamaSamia2025 na Chawa kindakindaki wengi, waimba sifa na walamba viatu vya mabwana zao watakuwa overtaken na Mch. Peter Msigwa....!

Na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno kwa hawa Chawaz...
kwamba mchungaji is more qualified and fit to my position than myself?🤣

where sasa?
huku jimboni kwangu kwamba he can take the constituency of mwanainchi from me, or to this second post I'm holding on behalf of you all wananchi?🐒

to take over where?
 
Tena ataanzia na ukuu wa wilaya, maana hivyo vyeo ni zawadi kwa chama cha mambuzi.
Wakati wenzetu kuanzia Serikali za mitaa, ukuu wa wilaya na mikoa wanahitajika watu makini wa kutatua kero za wananchi.
 
Nitashangaa mno kama Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au MamaSamia2025 na Chawa kindakindaki wengi, waimba sifa na walamba viatu vya mabwana zao watakuwa overtaken na Mch. Peter Msigwa....!

Na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno kwa hawa Chawaz...
Mimi sio chawa wala sina uongozi wowote ndani ya chama na serikali. Hii ni kwa sababu sihitaji kabisa hizo nafasi. Mimi ni mfanyabiashara ninayeridhika na kipato changu ninachopata kihalali. Kama ulikuwa hujui ni kuwa ndani ya familia yetu kuna viongozi wawili wakubwa ndani ya chama na serikali. Na mimi ndo nilikuwa nikiwahamasisha miaka zaidi ya 10 iliyopita wajihusishe na siasa baada ya kuona wanaweza.
 
Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana.

Mimi sio nabii ila natabili bwana pasta soon anakula kitengo alafu wakereketwa wataendelea kukerwa wakiwa benchi;
= natabiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nitashangaa mno kama Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au MamaSamia2025 na Chawa kindakindaki wengi, waimba sifa na walamba viatu vya mabwana zao watakuwa overtaken na Mch. Peter Msigwa....!

Na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno kwa hawa Chawaz...
Hawa ulowataja watabaki hivyo hivyo kwani wao wapo designed kusafisha viti na kudeki vyumba watakavyotumia wenye akili kutoka chadema, sasa kwa akili ya kawaida mtu kama Mwashambwa kwa akili alizo nazo hata kuwa katibu tarafa ataweza? Kipaji chake ni kusifia na siyo kusifiwa.
 
Nitashangaa mno kama Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au MamaSamia2025 na Chawa kindakindaki wengi, waimba sifa na walamba viatu vya mabwana zao watakuwa overtaken na Mch. Peter Msigwa....!

Na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno kwa hawa Chawaz...
Hawa ulowataja watabaki hivyo hivyo kwani wao wapo designed kusafisha viti na kudeki vyumba watakavyotumia wenye akili kutoka chadema, sasa kwa akili ya kawaida mtu kama Mwashambwa kwa akili alizo nazo hata kuwa katibu tarafa ataweza? Kipaji chake ni kusifia na siyo kusifiwa.
 
Mimi sio chawa wala sina uongozi wowote ndani ya chama na serikali. Hii ni kwa sababu sihitaji kabisa hizo nafasi. Mimi ni mfanyabiashara ninayeridhika na kipato changu ninachopata kihalali. Kama ulikuwa hujui ni kuwa ndani ya familia yetu kuna viongozi wawili wakubwa ndani ya chama na serikali. Na mimi ndo nilikuwa nikiwahamasisha miaka zaidi ya 10 iliyopita wajihusishe na siasa baada ya kuona wanaweza.
Ooooh, kumbe...!!!???

Lakini unaelewa maana ya Chawa kweli wewe ktk perspective ya siasa za Bongo? Unajua mwasisi wa neno hilo la kisiasa?

Unaelewa hata ni kwanini wewe umejipa jina la MamaSamia2025?

Kama huelewi kuwa huyu "Samia" a.k.a "Mama Abdul" a.k.a Samia Suluhu Hassan ambaye unaelekea kumpenda sana, basi elewa kuanzia leo kuwa huyu ndiye mwasisi wa neno "Chawa" na wote wanaomuunga mkono na walio nyuma yake kwa mujibu wake wote hao ni Chawa wake na vingine ni vichawa vyake huku yeye mwenyewe MamaSamia2025 akiwa ni Chawa mkuu...!

Do you now get that..?

Kwa hiyo wewe "mfanyabiashara mkuu" MamaSamia2025, kama unataka usiitwe "Chawa wa Mama, acha kujinasibisha naye.

Be someone else na kumpenda kwako kuwe moyoni mwako, otherwise wewe ni Chawa tu haijalishi utajijiteaje maana ndivyo ulivyo..!!
 
Back
Top Bottom