Kinadada!

Sirikali

Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
89
Reaction score
36
Mdogo wenu nimependa kibinti cha malawi...mara mbili za mwanzo tuliongea vizuri sana...wiki chache baadaye nilipoanza kuonesha kuwa namtamani akaanza mapozi...uwiii..sikuhizi nikigonga mlango anafungua tunasalimia halafu anaufunga kwanguvu bila kunisemesha chochote..nabaki kwa nje natabasamu tuu...msaada wa mbinu jamani nimdake huyu binti wa miaka 19...shule haipandi kabisa namuwaza all the time.
 
Nipe mbinu jamani, wote tunasoma chuo mwaka wa kwanza, sio watoto kiviiivo.
 
Nipe mbinu jamani, wote tunasoma chuo mwaka wa kwanza, sio watoto kiviiivo.

Waulize wanachuo wenzako wa malawi wanawapataje wasichana wa kimalawi
Pengine unatakiwa uende uchi ! we unaenda na mijinzi yako:A S-alert1:
 
soma dogo achana na hayo, kwani mkopo umeshapata?
 
Yani wewe umejiunga JF kwa jambo moja tu... Zinaa, basi!
 
Mwanafunzi hatuwezi kukufundisha mbinu za uzinzi soma bwana kama unataka tuulize mbinu za kusoma upo mwaka wa kwanza yu have long way to go!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…