Unasoma Chuo cha bandari,?Habari,
kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
Kwa nini umekuwa specific maeneo hayo tu?hapana
Utapata, ila nilitaka tu kujuwa maana maeneo Yale nyumbani nyingi ni za kizamani, maeneo ya wenyeji hayo.n
ndugu kama una chumba chenye sifa tajwa, nipe muongozo jinsi ya kukipata, hii ndo point kuu
Ulipata?sawa nimekuelewa