Utetezi wako umejikita kwenye mawazo binafsi wala si maandiko. Mi huwa nafatilia posts zako nikajua we ni mtu makini kumbe now najithibitishia kwamba sikuwa sahihi vile nilikuwa nakuchukulia.Ni kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”
Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:
Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.
Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.
Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.
Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:
Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.
Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."
Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.
Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
No Reforms, No Election.Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Endelea ni mistari inayofuata inataja sifa anazotakiwa kuwa nazo huyu mtu anayetamani kazi njema. Sifa mojawapo ni kuwa "Mume wa mke mmoja." Utaamua mwenyewe kama utakuwa mume au laWanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Hata andiko lililotumiwa hapa ni la Paulo mkuuTEC wanahusikaje hapa? Timotheo keshatoa ruksa wewe nenda kawe askofu
Wakatoliki nao wana andiko lao toka kwa paulo. Usiwapangie
HaipoUtetezi wako umejikita kwenye mawazo binafsi wala si maandiko. Mi huwa nafatilia posts zako nikajua we ni mtu makini kumbe now najithibitishia kwamba sikuwa sahihi vile nilikuwa nakuchukulia.
Mara nyingi nakuona unaweka maandiko nashangaa hapa unatetea hoja kibubusa bila andiko. Hata andiko lako la kuanzisha mada haliungi mkono hoja yako.
Lete andiko ambalo mtu akisoma hahoji kitu kama ambalo nimekupa mimi, acha kuungaunga hoja.
Hakuna sehemu kwenye Biblia inamtaka mwanamke kuwa askofu, kama andiko lipo weka hapa tulione.
Angalia na mathayo mtakatifu. Andiko lipo.Hata andiko lililotumiwa hapa ni la Paulo mkuu
We kadhi mkuu kaa kimya😃 mambo ya kikristo hayakuhusu, hujui kitu huku.Angalia na mathayo mtakatifu. Andiko lipo.
Kama haipo basi askofu lazima awe kidume. Ukishuka kwenye zile Aya ameleta huyu mleta mada utaona hata shemasi lazima awe mwanamume mwenye mke mmoja.Haipo
1Timetheo 2-11-14 kuna maneno yanahusu hilo la mwanamke kutofundisha mbele za wanaume nashindwa kuweka hapa.Kama haipo basi askofu lazima awe kidume. Ukishuka kwenye zile Aya ameleta huyu mleta mada utaona hata shemasi lazima awe mwanamume mwenye mke mmoja.
Mathayo sura na mstari gani ? Siwezi anza kusoma mistari yote hapa nikitafuta jambo hilo tu.Angalia na mathayo mtakatifu. Andiko lipo.
Are you serious?Ni kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”
Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:
Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.
Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.
Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.
Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:
Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.
Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."
Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.
Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Umesema twende kwa vifungu. Soma 1.Tim 2: 11-14Usibadili mada, please
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
( Kabla ya bibilia wakristo wa mwanzo walikuwa wanatumia nini)?
Ungeanza Wewe kama mfano ndipo hao wenzio wapate hamasa.Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Waambie na wakatoliki mwanamke kuwa Papa ni ruksa👿Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Mifano itoke kwenye Biblia sio uje hapa useme mbona mwanamke fulani ni askofu! Sisi tunataka aya za Biblia zinazoruhusu mwanamke kuwa askofu, kama hazipo itakubidi uelewe kwamba kama yupo askofu wa kike, yupo tofauti na maagizo ya Biblia....Mimi nina majukumu mengine mazito. Ila mifano iko mingi ya maaskofu wanawake
Kwenye Biblia isiwe nje ya hapoMimi nina majukumu mengine mazito. Ila mifano iko mingi ya maaskofu wanawake
Asante kwa kusaidia kuweka hapa mzee.Umesema twende kwa vifungu. Soma 1.Tim 2: 11-14
Zingatia 1.Tim 2:12
11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
1.Timotheo 2:11
12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
1.Timotheo 2:12
13 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
1.Timotheo 2:13
14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
1.Timotheo 2:14