kakakuonap
Member
- Sep 4, 2010
- 14
- 0
Duh sina uhakika kama umetumia akili zako kusema haya
Ulijiandikisha hapa JF mwezi jana ili uandike takataka? Nenda kwenye blogu za wakina michuzi na maggid uandike haya muendelee kudanganyana na mafisdi wenzio. Hapa umegonga mwamba. HATUDANGANYIKI.
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa ujerumani aliitumia kuivuruga amani ya Ujurumani, staili ya chadema inafanana na ile ya Hitler kwani zote zinawalenga vijana wanaotafuta ajira , watu wanaoshabikia udini na wakina mama walioachika na waume zao.

Yah, kuna weza kuwa na ukweli. Uwongo wenyewe si ndiyo kama ule wa kwamba CHADEMA ni chama cha kidini, mara CHADEMA ni chama cha wachagga, mara Slaa katumwa na maaskofu, mara Slaa kaiba mke wa mtu, mara Slaa ametangaza kumwaga damu, mara CHADEMA wanataka kutumia maiti kama ngazi ya kwendea Ikulu, tena mengine yanasemwa na Kikwete mwenyewe bila aibu. Mtu mzima hovyo!!!. Kwa kweli si bure lazima kuna mtambo makini kabisa wa kutengenezea haya yote. Kwa bahati mbaya mali mnazozalisha kwenye mtambo wenu sasa hivi haziuziki. Watanzania hawapo tayari kuendelea kudanganywa tena.