MDAHALO ULIOFANYIKA STAR TV KATI YA DK.SLAA NA MR.KINANA
NUKUU😀K.SLAA
Hatuwezi kugawana madaraka kwa kufuraishana tu,Sihitaji mawaziri wengi wanaofanya kazi ya kufungua makongamano,semina na mikutano.Sihitaji mawaziri ambao kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu,Nahitaji serikali ndogo inayotumia gharama ndogo lakini yenye tija katika kuhudumia wananchi
KINANA ANAJIBU:
anayeamua ni rais mwenyewe lakini nakubali kabisa kuwa na baraza kubwa la mawaziri si sahii...
Kweli eeeh!!!Heshima kwako Mojoki,
Kinana hana busara hata chembe angekuwa na busara asingeshiriki kuuza Loliondo,asingeiba mashine za kufulia nguo zilizotolewa msaada Mt Meru Hospital,asingeiba na kusafirisha pembe za ndovu nje ya nchi kwa kifupi Kinana ni fisadi papa hana tofauti na akina Rostam,Lowassa,Chenge na Mramba.
Kinana hawezi kuitwa ni mtu mwenye busara kwasababu kakubaliana na Dr W Slaa udogo wa baraza la mawaziri.
Heshima kwako Mojoki,