Kinana asaini katika kitabu cha maombolezo ya Malkia Elizabeth II

Kinana asaini katika kitabu cha maombolezo ya Malkia Elizabeth II

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.

IMG-20220912-WA0059.jpg
 
Hili ndilo. Jambazi kuu,huyu mwamba ndie atakae amua Raisi baada ya huyu mama tozo,na kuitoa ccm,huyu mwamba,has to be put down
 
Hivi mwananchi wa kawaida anaruhusiwa enda na kuweka sahihi?
 
Back
Top Bottom