Kinana atoboa siri ya mchakato wa maridhiano

Hivi hayo maneno yametamkwa na Mzee kinana kweli au kitoto cha darasa la kwanza?
 
Ktk vitu ambavyo CCM tulividharau ni hii kitu eti maridhiano? Hivi kwani kulikuwa na mgogoro??? Yaani hapo mwenyekiti wetu hakufanya sawa, yeye alipaswa kusema tu naweka utaratibu mpya basi.
 
CCM mnawapigia makofi Chadema wanaowasaidia kudai HAKI mnawabeza
 
Kinana aache kutisha watu nchi hii ya Tanzania aache watu waongee aache vitisho hata Samia ataondoka na wanakuja maraisi wengine
Wewe pia unaweza kuwa rais wetu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…