Kinana, hala hala msijelikoroga juu ya rasimu ya Katiba Mpya!

Ahsante mkuu kwa kutusaidia. Maana kuna wazushi walianza kupotosha
 

Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya chama,
Kama hawaungi kwa asilimia mia, wenye maamuzi ya mwisho ni wananchi.
 
Mkuu masopakyindi, ngoja usiwatishe CCM. waache wakae, waiangalie rasimu, waijadili. Nadhani kila mtanzania na taasisi ina haki hii.
Kama wtakapooibuka huko watakuja na jambo ambalo halina public support, hiyo itakuwa imekula kwao
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona hueleweki, wewe ndio Kinana mwenyewe nini?
Mbona nukuu umewekewa pale juu, ni kiasi cha kukanusha kilichoandikwa ili kuondoa kiwingu kinachoanza kukusanyika juu ya kauli ya Kinana.

Nimemsikia jioni hii katika kipindi cha BBC cha saa 12.30 Nape Nnauye akikanusha kuwa CCM inapinga rasimu ya katiba mpya.
Hongera Nape, hicho ndicho nilitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…