KINANA - Katiba mpya ni kwa watanzania, ubinafsi usiuaribu.

KINANA - Katiba mpya ni kwa watanzania, ubinafsi usiuaribu.

Maudodo

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
30
Reaction score
16
Katibu Mkuu wa CCM abdulrahaman Kinana amewataka Viongozi aw vyama vya siasa nchini hasa Chadema kuondosha ukibaraka na ubinafsi na badala yake waache watanzania watoe maoni Yao kwa uhuru kwa Lengo la kupata katiba mpya itakayobeba matakwa Yao na si ya makundi macha he
 
Huyu naye, yeye a nafikiri mawazo ya wengi ni hayo yaliyoandikwa na CCM.? WAkubali Bunge la katiba liwe na makundi mengine ambayo sio ya kiccm kama wanataka katiba ya wtz....
 
Wewe translater?? Akili za kuku wa kichina umewekewa kichwani au hicho kichwa umejitisha tu kama tenga la ng'onda! ----!
 
Katibu Mkuu wa CCM abdulrahaman Kinana amewataka Viongozi aw vyama vya siasa nchini hasa Chadema kuondosha ukibaraka na ubinafsi na badala yake waache watanzania watoe maoni Yao kwa uhuru kwa Lengo la kupata katiba mpya itakayobeba matakwa Yao na si ya makundi macha he

Kichwa cha habari na dhamira ya chama chake ni tofauti kabisa acha upuuzi uliondikwa chini yake, hivi ninani alieandaa waraka na kushinikiza wanachama wake wajadili katika vikao vya ndani?kisha wakaukubali kufanya kama akili zao zinavyotaka kuweka vipengele vya kuficha maovu yao, mbona wenzao walifanya mabaraza ya hadhara kwa wanachama wao na wengine wenye vyama na wasio na vyama na kila mtu kupewa uhuru wa kuchangia atakavyo hata kupinga kile asichokubaliana nacho tofauti na nyie mlieshinikiza wanachama kujadiri kile mlicho kipanga tu si ndio kuwarudisha watanzani kule kwenye zidumu fikra za chama hata kama ni upuuzi
 
Kwani yeye Kinana ni mtanzania? Inamuhusu nini, au anafikiri katiba ya Somalia....

Mbona Tembo ni wa watanzania wote lakini anawaua na kuuza pembe zao kwa manufaa yake Kinana binafsi?
 
mzee ana stress anazidi kudumaa medula oblangata
 
upuuzi upuuzi mtupu siwapendi sina uwezo tu bali namuachia Mungu basi
 
Inaeleka ukiwa mwanachama wa chama cha upinzani haki yako kama MTANZANIA inakuwa haipo tena.
 
Back
Top Bottom