BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI.
Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu
Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inaendelea na sasa ni zamu ya Mikoa ya Katavi,Rukwa, Songwe, Mbeya.
CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu.
#CCMChamaKiongozi
#KaziIendelee
View attachment 2302091
View attachment 2302092
View attachment 2302093
Safi sana!!! basi ukiona hivo weye ndo pepo lile hasa jini makata.... ushindwe na ulegee! Ukome kukemea chama la Mama yetu Mpendwa kufa pepo rudi kuzimu!!!Hiki chama kilishatuchosha mno jamani sijui ni pepo gani hili haliondoki pamoja na kukemea kote!