Slaa amjia juu muongoza kipindi.
Amjibu deodoras Kamara, sema Kamara hakutanguliza maslahi ya watanzania kwenye mkataba wa Afrika Mashariki, asema elimu ya Kamara haijamsaidia, hajaweka uzalendo mbele, yeye (Slaa) anasema kati ya mikataba mibovu ni Protocol ya afrika Mashariki ambayo ataipitia na kuiboresha kwa faida ya watz. Kupunguza kodi kwenye vifaa vya ujenzi inawezekana kwa faida ya watanzania