Kinana ndiye aliye karibu zaidi na Urais. Je, ndiye namba 1 ajaye?

Lizee hilo. Haliwezi tena mikiki ya Urais. Mbona hamtaki kuheshimu umri? Yaani ninyi ni ili mradi mko karibu na mtu hata kama hafai mnataka awe Rais?
 
Lizee hilo. Haliwezi tena mikiki ya Urais. Mbona hamtaki kuheshimu umri? Yaani ninyi ni ili mradi mko karibu na mtu hata kama hafai mnataka awe Rais?
Urais ni malengo na mikakati hivyo kama akili ipo timamu haijalishi umri anaweza
 
Duh dingi simpendi huyu
 
Kinana si muadilifu
 
Hamna kitu kama hicho. Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ndiyo fursa yake ya mwisho. Alikuwa anapozwa machungu tu aliyopata kutoka utawala DHALIMU wa mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…