[QUOTE=Padri;1065635]Hao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.
Padri kweli Mbowe Form 4??????
Kinana ndio hofu yao.hawa watu wa chadema.