Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000?
kwanini kuwe na cheti kilichohakikiwa wakati vijana wamepewa namba za NIDA?
Pamoja na hayo zoezi linachukua mda mrefu sana na pesa wamechukua, kama hawana uwezo wa kutoa uhakiki kwa mda kwa nini RITA kaamua kufanya majukum ambayo hana uwezo nao?