njia za kupata fedha, elfu sitaNimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000?
kwanini kuwe na cheti kilichohakikiwa wakati vijana wamepewa namba za NIDA?
Pamoja na hayo zoezi linachukua mda mrefu sana na pesa wamechukua, kama hawana uwezo wa kutoa uhakiki kwa mda kwa nini RITA kaamua kufanya majukum ambayo hana uwezo nao?
Mimi nimehakiki mara 2 na kukatwa pesa mara 2 afu hakuna system ya kukwambia tayari ulishalipia… nimelia sana 😭Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000?
kwanini kuwe na cheti kilichohakikiwa wakati vijana wamepewa namba za NIDA?
Pamoja na hayo zoezi linachukua mda mrefu sana na pesa wamechukua, kama hawana uwezo wa kutoa uhakiki kwa mda kwa nini RITA kaamua kufanya majukum ambayo hana uwezo nao?
Safi sana. Bila watanzania kufanyiwa ukatili wa aina hii hawatazinduka kutaka viongozi wawajibike.Ukihoji San unawekwa ndani, inaonekana mchochezi
Ni utaratibu wa RITA kuhakiki cheti kinachotolewa na RITA.Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000?
kwanini kuwe na cheti kilichohakikiwa wakati vijana wamepewa namba za NIDA?
Pamoja na hayo zoezi linachukua mda mrefu sana na pesa wamechukua, kama hawana uwezo wa kutoa uhakiki kwa mda kwa nini RITA kaamua kufanya majukum ambayo hana uwezo nao?
Kwanini wasiingize kwenye mfumo moja kwa moja?Nadhani ni kwamba kuna watu wanafake vyeti vya kuzaliwa so ili kuepusha hii kitu wameweka hiyo system ya kuwa verified na RITA kwa watakaoomba mkopo