Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo.
View attachment 2412287
Kinafanya kazi na software zote za music production kama vile Ableton Live, Fl Studio, CueBase, Pro Tools, etc.
Bei: 650,000
Location: Arusha
Mawasiliano: 0768444224