kinara wa "sauti za busara" na "ahmada umelewa" huyu hapa!!!

kinara wa "sauti za busara" na "ahmada umelewa" huyu hapa!!!

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
bi-kidude.jpg

huwezi amini kama umri wake sasa ni takribani karne moja!!! God bless u madam!!!
 
Na hat a akiwa jukwaani anaimba haanguki anguki na kupoteza fahamu
 
Ukimuangalia kwa makini inaelekea enzi zake alikuwa si mchezo!
 
Duuh katika watu ambao Mungu kawajalia kuwa na dongo zuri ni Bi Kidude, huyu amekula nchi bwana na baaaaado atakuwa na umri, si wa kudondoka leo huyu.:becky:
 
Na hat a akiwa jukwaani anaimba haanguki anguki na kupoteza fahamu


Mmmmmh, unamaanisha wengine 'vijana' lakini wakiwa jukwaani lazima waanguke na kupoteza faham, halafu tunaambiwa wazima na wana afya,

lol
 
Na bado ana nguvu!

yaani kwa kweli waafrika ngozi zetu ni imara sana,hebu muone bi kidude wrinkle zake zinahesabika lkn ingekuwa kibibi cha kizungu cha umri wake hayo makunyanzi hayahesabiki na shingo inatepweta!
ooh thank you Lord kwa kuniumba na hii ngozi nyeusi!
 
bi kidude anafika 106 kwa kweli kala chumvi, ila hatakikutubu nakuacha ubataan
 
Back
Top Bottom