Duuh katika watu ambao Mungu kawajalia kuwa na dongo zuri ni Bi Kidude, huyu amekula nchi bwana na baaaaado atakuwa na umri, si wa kudondoka leo huyu.:becky:
yaani kwa kweli waafrika ngozi zetu ni imara sana,hebu muone bi kidude wrinkle zake zinahesabika lkn ingekuwa kibibi cha kizungu cha umri wake hayo makunyanzi hayahesabiki na shingo inatepweta!
ooh thank you Lord kwa kuniumba na hii ngozi nyeusi!