connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
1. Kila siku wanamkaribia Mheshimiwa Dkt. Commander in Chief Ruto (PhD) maana Mheshimiwa pamoja na kuwamwaga mizigo wa mwizi (Baraza la Mawaziri) baharini Ila bado wanae tu.
2. Nini kinachelewesha Mheshimiwa kuitisha Uchaguzi mpya ili Kupunguza joto la kisiasa Kenya?
**Ruto pia ahakikishe vijana wa IT wanacheza karibu kama alivyofanya mwanzoni
2. Nini kinachelewesha Mheshimiwa kuitisha Uchaguzi mpya ili Kupunguza joto la kisiasa Kenya?
**Ruto pia ahakikishe vijana wa IT wanacheza karibu kama alivyofanya mwanzoni