connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Siorahisi hivyoo ndugu ile sehemh wametumia gharama kufika walipoKila siku wanamkaribia Mheshimiwa Dr Commander in Chief Ruto (PhD). Nn kinachekesha mHeshimiwa kuitisha Uchaguzi mpya ili Kupunguza joto la kisiasa Kenya
Ingekua busara Ruto akae pembeni. Uchaguzi ufanyike Kenya wapate Rais mpya.Tatizo wanasiasa wa Kenya wengi manyang'au.. Wanasema nje mvua inanyesha wakati jua linawaka mpaka utosini..
Watanzania tulio wengi tuko nanyi kizazi Gen Z..