Kinawachowachanganya Yanga na timu za nje vs Simba ni spirit ya ushindi

Kinawachowachanganya Yanga na timu za nje vs Simba ni spirit ya ushindi

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Jamaa wa yanga utawasikia ,agh ndo basi bana mshatoka hata hivyo mmejitahidi kufika robo fainali,nani kakuambia wewee?spirit ya simba ya this time nimeipenda,hakuna kuridhika,we want more and more,natamani tasaf vyura vyuran nao wangeiiga,angalia azam fc hawana hiyos pirit wameridhika kula hela za bakresa burebure tu
Team za nje haswa mazembe na as vita nao wamekutana na spirit ya ajabu sivyo walivyozoea Tanzania ya miaka ya nyuma ambayo ukifungwa moja bila au 2 na kutolewa utasikia agh siyo mbaya lakini tumetolewa na team kubwa afrika kwa magoli machache
Hakuna hiyo..jasho na damu hadi mwisho. KAPAMBANENI LUMBUMBASHI WANA TUPO PAMOJA NA NYIE.
 
Nyie Mikia Fc andaeni kikapu cha magoli tu huko Lubumbash
 
Mikia mnamatatizo sana, mjiandae kisaikolojia kwa kipigo cha mbwa koko hadi mchakae

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Simba atapambana mpaka kieleweke! Kumbukeni Simba hafi kama kuku
 
Hiyo spirit mliyokuwa nayo mtaitumia kuweka katika vidonda mtakavyopata jumamosi mtàkavyopigwa gòli nyingi kule Lubumbash
 
Back
Top Bottom