Jamaa wa yanga utawasikia ,agh ndo basi bana mshatoka hata hivyo mmejitahidi kufika robo fainali,nani kakuambia wewee?spirit ya simba ya this time nimeipenda,hakuna kuridhika,we want more and more,natamani tasaf vyura vyuran nao wangeiiga,angalia azam fc hawana hiyos pirit wameridhika kula hela za bakresa burebure tu
Team za nje haswa mazembe na as vita nao wamekutana na spirit ya ajabu sivyo walivyozoea Tanzania ya miaka ya nyuma ambayo ukifungwa moja bila au 2 na kutolewa utasikia agh siyo mbaya lakini tumetolewa na team kubwa afrika kwa magoli machache
Hakuna hiyo..jasho na damu hadi mwisho. KAPAMBANENI LUMBUMBASHI WANA TUPO PAMOJA NA NYIE.